Top Stories

VIDEO: Kauli ya kwanza ya Moses Magogo baada ya kumshinda Tenga (CAF)

on

Rais wa shirikisho la soka Uganda FUFA Moses Magogo baada ya ushindi wa Ujumbe wa kamati ya CAF ukanda wa Afrika Mashariki na kati nafasi ambayo ilikuwa chini ya mtanzania Leodger Tenga ambaye amewahi kuwa Rais wa TFF.

“Kwangu nimshukuru kwanza Mungu kwa kuwa hapa na kuwa hai na kila mmoja aliyenipigia kura na hata asiyenipigia kura nafuraha nimepata nafasi ya kuongoza mchezo ninaoupenda”>>> Moses Magogo

VIDEO: Mtangazaji wa Ennahar TV amwaga machozi Algeria ikitinga nusu fainali AFCON

Soma na hizi

Tupia Comments