Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Asamoah Gyan katua China, unajua analipwa kiasi gani kwa wiki?
Share
Notification Show More
Latest News
Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
February 2, 2023
Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Asamoah Gyan katua China, unajua analipwa kiasi gani kwa wiki?
Sports

Asamoah Gyan katua China, unajua analipwa kiasi gani kwa wiki?

July 10, 2015
Share
1 Min Read
SHARE

Asamoah-Gya

Nahodha wa timu ya taifa ya Ghana Asamoah Gyan leo  amethibitisha kujiunga na klabu ya Shanghai SIPG ya China kwa mkataba wa miaka miwili.

Nyota huyo aliyeisaidia timu yake ya Ghana kufanya vizuri kwenye michuano mbalimbali ya kimataifa atakua akilipwa dola 250,000 kwa wiki sawa na zaidi ya milioni 500.

Asamoah amesaini mkataba huo mbele ya kaka yake Baffour na meneja wake Samuel Anim Addo  na atatambulishwa  katika mechi ijayo ya ligi kuu ya China dhidi ya Guangzhou R&F.

Asamoah amejiunga na timu hiyo akitokea klabu ya Al Ain ya falme za kiarabu  ambayo amedumu nayo kwa miaka minne, ameichezea mechi 83 na kuifungia mabao 95.

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook naInstagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

You Might Also Like

PSG wachukizwa na Chelsea kukwamisha usajili wa Ziyech

Enzo avunja rekodi ya Uingereza usajili

Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal

Jorginho yametimia Arsenal

Picha: Tazama wadau mbalimbali waliohudhuria kushuhudia mkataba wa Yanga na Haier

Millard Ayo July 10, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Yemi Alade tena kwenye Headlines, kaja na hii ‘Na Gode’ Feat.Selebobo…(Audio)
Next Article Nollywood kuibeba Nigeria kiuchumi? Ripoti ya Umoja wa Mataifa Tume ya Kimataifa ya Biashara imeeleza haya!
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
Top Stories February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
Magazeti February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
Top Stories February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
Top Stories February 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama

February 2, 2023
Top Stories

Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha

February 2, 2023
Top Stories

Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu

February 2, 2023
Top Stories

liganga na Mchuchuma ngoma nzito, Waziri akubali hoja za Askofu Gwajima

February 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?