Breaking News

Mambo BAVICHA wamezungumza na Wanahabari, wamtaja Lissu na JPM

on

Baraza la Vijana wa Chama Demokrasia na Maendeleo ‘BAVICHA’ leo August 24, 2017 limekutana na kuzungumza na Waandishi wa Habari kuzungumzia mambo mbalimbali yanayoendelea nchini ikiwa ni pamoja na ishu ya ndege ya Serikali ya Bombardier Q400 ambayo imekamatwa Cadana.

Aidha, BAVICHA imezungumzia pia ishu ya Wabunge wa CHADEMA kukamatwa na kuwekwa na Jeshi la Polisi.

Soma na hizi

Tupia Comments