Ni headlines za aliyekuwa Mkurugenzi wa CRDB BANK, Dkt Charles Kimei ambae January 26, 2019 aliagwa rasmi na wafanyakazi wa bank hiyo.
Nafasi ya Kimei imechukuwa na Abdulmajid Mussa Nsekela akitokea Benki ya NMB alikokuwa tangu mwaka 2008.Historia ya Nsekela inaeleza kwamba alianza kufanya kazi katika benki hiyo ya CRDB mnamo mwaka 1997 kabla ya kujiunga na NMB mwaka 2008.
Miongoni mwa zawadi alizopewa na wafanyakazi wa bank hiyo ikiwemo zawadi ya Gari iliyotolewa na mwenyekiti wa bodi ya CRDB BANK, Ally Hussein.
DR KIMEI KAPEWA GARI LA THAMANI, MWENYEKITI WA BODI KAZUNGUMZA, BEI GANI?