Habari za Mastaa

H. Baba apewa tuzo na Mama yake “Mimi ndio wa kwanza duniani” (+video)

on

Baada ya headlines za H. Baba kumzawadia mjengo Mama yake wenye thamani ya Milioni 200 uliopo Nyasaka Mwanza nae Mama yake amempa tunzo ya heshima.

“Mimi ndio msanii wa kwanza kupewa Tuzo na Mama yangu, hakuna msanii aliepewa tuzo na mama yake Mimi ndio wa kwanza duniani, nitaenda kuhifadhi isije ikaibiwa” H. Baba

H. Baba pia anasema ameziona comments za watu kumkejeli kuwa ile nyumba haiwezi kufikia hiyo thamani ya pesa anayoisema “Kama kiwanja nimenunua Mil.60 unawezaje kusema nyumba haijafika Mil. 200, unajua thamani ya kiwanja cha barabarani?, kwenye fensi tu nimefunga taa 14, nyumba inajengwa kwa pesa kidogo kidogo kwa sisi masikini”.

Soma na hizi

Tupia Comments