AyoTV

Video ya H.Baba alivyozitoa tuzo zake za mwaka 2015… kaongea pia

on

Usiku wa Dec 20 2015 mastaa wa Bongo H.Baba pamoja na mke wake Flora Mvungi walizitoa tuzo zao za mwaka 2015 kama walivyofanya mwaka uliopita, H Baba amekua akisema tuzo anazozitoa yeye ni tuzo zisizo na upendeleo tofauti na tuzo nyingine ndio maana anaona asawazishe, tazama hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments