Habari za Mastaa

VIDEO: Shilole awafungukia mastaa walioshindwa kufika lounge ya Uwoya “Ni wanafiki”

on

Msanii Shilole amewatolea uvivu baadhi ya wasanii na mastaa walioshindwa kufika kwenye uzinduzi wa Lounge mpya ya mwigizaji Irene Uwoya ambayo ilizinduliwa rasmi February 22, 2019 ikipewa jina la ‘Last minute Lounge’ inayopatikana maeneo ya Sinza Mori Dar es Salaam.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama alichozungumza SHILOLE.

NOMA!! VITUKO VYA SHILOLE NA MZAZI MWENZIE ASLAY NDANI YA BAR YA UWOYA

Soma na hizi

Tupia Comments