Breaking News

Tundu Lissu, LHRC waungana kupinga kulipuliwa Ofisi ya Mawakili

on

Mbunge wa Singida Mashariki ambaye pia ni Mwanasheria wa CHADEMA na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, TLS, Tundu Lissu na Kituo cha Haki za Binadamu wameungana kwa pamoja katika kupinga kitendo cha kuvamiwa na kulipuliwa Ofisi za IMMMA Advocates.

Katika mkutano wa pamoja wamesema lengo ni kuonesha namna gani Sheria inatakiwa kuthaminiwa na kitendo kilichofanywa kinatakiwa kukemewa kwa nguvu zote.

Tazama kwenye hii video hapa chini kushuhudia kila kitu…

MBUNGE MSUKUMA: Kamjibu tena Lissu kuhusu mgomo wa Mawakili

ULIPITWA? WAKILI ALIYEJITOKEZA KUMPINGA TUNDU LISSU: Ni kuhusu ule mgomo wa Mawakili alioitisha.

Soma na hizi

Tupia Comments