Duniani

Jamaa kachukua video baada ya kuingia kwenye nyumba ya bei kubwa kuliko zote sokoni Marekani

on

Ndio imetajwa kuwa nyumba inayouzwa bei ghali zaidi kwenye soko la Nyumba Marekani kwa sasa ambapo ipo Los Angeles California ikiwa ni Nyumba yenye vyumba 12, Mabafu 21 na Majiko matatu.

Bei ya nyumba hii ni dola za Kimarekani MILIONI 250 ambapo ukiinunua, ndani yake hiyo bei umejumlishiwa magari ya kifahari, pia kuna ukumbi wa kutazama Cinema ambao ndani yake tayari kuna movie 7000 umewekewa ambazo unaweza kuzitazama kwa kama miaka 10 bila kuishiwa.

Hii video hapa chini itakuonyesha jamaa alivyoingia na kuchambua

VIDEO: Tazama nyumba 1500 zilizojengwa Kigamboni na Milionea Mtanzania aliyeishia Darasa la 7, bonyeza play kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments