Video Mpya

AudioMPYA: Mkali wa rap Young D anavimba na ‘Gari’ lake

on

Karibu millardayo.com kuisikiliza audio mpya kutokea kwa C. E. O wa Dream City Media & Entertainment Company LTD, Young D ambayee ndani ya wimbo huo amemshilikisha mtayarishaji wa muziki wa bongo fleva Abbah na wimbo unaitwa ‘Gari’.

MBASHA: “Kwa Mungu Flora bado ni Mke wangu, Mtoto aliyemzaa ni mwanangu pia”

EXCLUSIVE: Aliyoyazungumza msanii Ibranation kuhusu muziki wake

Soma na hizi

Tupia Comments