Top Stories

PICHA 23: Kutoka kwenye kilele cha Mbio za Mwenge, Zanzibar

on

October 14, 2017 ni siku ya kumbukumbu ya miaka 18 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere lakini kumbukizi hiyo iliambatana na kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru katika Uwanja wa Amaan, Visiwani Zanzibar ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais John Magufuli.

“Tumelitupa Azimio la Arusha, tukaanza kuuza mashirika yetu” – Rais Magufuli

Soma na hizi

Tupia Comments