Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Mtoto wa Ruge kapewa dili na Nandy “Tupo juu kila siku”

on

Kupitia mitandao ya kijamii wengi wamekuwa na maswali kuhusiana na ukaribu uliopo kati ya Nandy pamoja na Mtoto wa kwanza wa Marehemu Ruge Mutahaba ambaye ni Mwachi, hivi karibuni Nandy aliweka wazi mahusiano yake ya kimapenzi yaliyokuwepo kati yake na Ruge.

Kwa mujibu wa comments za Nandy pamoja na Mwachi imeonekana kuwa Nandy ameamua kumuajiri Mwachi kuwa Official Dj wake kuanzia tamasha ambalo ataanza nalo Sumbawanga siku ya Eid, kauli hizo zimethibitishwa  kupitia mtandao wa instagram.

Kutokana na comments hizo mashabiki wamekuwa na kiu cha kufahamu zaidi kama ni kweli Nandy atampatia Mwachi nafasi hizo na kumsaidia kwa kumuinua kimaisha.

VIDEO: CHEKI STYLE MPYA BALAAH ZA CHALII ‘R’ CHUGGA, “MBELE MBELE YAO, KUSOMA NI USIKU”

Soma na hizi

Tupia Comments