AyoTV

VIDEO: “Wanaowatisha wanachama wa Yanga maboya tu!!”-Antonio Nugaz kuhusu Pyramids FC

on

Baada ya mchezaji wa Yanga Andrew Vincent Dante kugoma toka msimu umeanza kwa kushinikiza Yanga SC imlipe pesa zake anazodai Tsh Milioni 45 za usajili na kukataa kulipwa kwa awamu afisa muhamasishaji mkuu wa Yanga SC Antonio Nugaz ameongea na waandishi wa habari leo.

Nugaz pia amefunguka na kueleza kuwa wana Yanga wasiwe na hofu kuhusu Yanga SC kupangwa na Pyramids FC ya Misri ambao kikosi chao kinatajwa kufikia  zaidi ya Tsh Bilioni 20.

VIDEO: Uamuzi wa Simba SC kuhusu kudaiwa kugoma kwa Mkude, Erasto, Chama na Gadiel

Soma na hizi

Tupia Comments