Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

VIDEO: Tazama umahiri wa Balinya, Sibomana na Ngassa kucheka na nyavu

on

Yanga SC katika mchezo wake wa kirafiki dhidi ya Mlandege imepata ushindi wa magoli 4-1, magoli ya Yanga yakifungwa kwa ustadi mkubwa na Balinya, Sibomana na Mrisho Ngassa, hii ikiwa ni maandalizi ya kuelekea mchezo wao wa CAF Champions League dhidi ya Township Rollers, unaweza kutazama umahiri wa Balinyi, Sibomana na Ngassa.

VIDEO: Mwinyi Zahera anajiamini bwana “Mliona nalalamika mchezaji akikosekana”

Tupia Comments