AyoTV

VIDEO: Wasanii walivyoizindua Barber Shop Mpya DSM

on

Ni April 8, 2018 ambapo wasanii kutoka Bongo Flevani na Bongo Movies akiwemo, Shetta, Tunda Man, Steve Nyerere, Aunt Ezekiel, walikutana na kuizindua saloon mpya iliyopewa kwa jina la ‘Respect Barber Shop’ iliyopo Komakoma Dar es Salaam.

Itazame hii video uone jinsi kilivyohappen kwenye uzinduzi huo.

LIVE MAGAZETI: Zama ngumu , Uraia wa Kakobe ‘UTATA’, Magufuli amwaga BILIONI Polisi

Soma na hizi

Tupia Comments