AyoTV

VIDEO: Kauli ya Kaseja alipoulizwa kuhusu umahiri wake wa kudaka penati

on

Mikwaju ya penati Tanzania ikawa na bahati zaidi baada ya kufanikiwa kupata ushindi wa penati 3-0, hivyo kuingia hatua ya makundi ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar, Juma Kaseja ndio alikuwa shujaa wa mchezo huo baada ya kucheza penati ya kwanza iliyoleta nguvu kwa Taifa Stars na kuwadhoofisha Burundi.

Umahiri wa Kaseja katika kudaka penati uliwafanya waliowengi kuhoji kwa miaka nenda rudi amekuwa hodari katika kucheza mipira ya penati, anadhani nini siri ya mafanikio yake, Kaseja ameeleza kuwa pamoja na kucheza Ligi Kuu Tanzania bara kwa miaka 19 lakini hajawahi kufundishwa na kocha yoyote kudaka penati.

EXCLUSIVE: SAMATTA KAFUNGUKA DILI LAKE KWENDA ENGLAND, VIPI CHAMPIONS LEAGUE

Soma na hizi

Tupia Comments