Top Stories

Jionee barabara ya juu TAZARA imeanza kunyanyuka ( picha 10 )

on

Ujenzi wa FLYOVER kwenye makutano ya TAZARA Dar es salaam unaendelea na inashawishi kila mmoja atamani imalizike mapema ili kuondoa kero ya foleni ambayo imekua ikisumbua sana kwenye makutano hayo ya barabara inayokwenda mjini, kurasini, Airport na Ubungo

millardayo.com inazo hizi picha 10

UNAWEZA KUTAZAMA VIDEO YAKE HAPA CHINI… BONYEZA PLAY KUJIONEA

VIDEO: Jionee Barabara ya magari inayopita kwenye maji baharini New York Marekani,  play hapa chini kujionea

APP MPYA: Usisahau ku-install APP mpya ya ‘millardayo‘ inayopatikana kwa wale wenye simu za ANDROID, kama ulikua na ile ya zamani naomba uifute…. karibu sana mtu wa nguvu, UNAWEZA KUI-INSTALL KWA KUBONYEZA HAPA >>> APP MPYA

Soma na hizi

Tupia Comments