Habari za Mastaa

“Gigy Money is not my Type, siwezi kuwa na tatizo na mtu ambaye yupo chini yangu”

on

Video Queen anayefahamika kwa jina la Irene ambaye hivi karibuni amekuwa akihusishwa kuwa na bifu na msanii Gigy Money baada ya kuonekana kwa video inayowaonesha wakitoleana maneno makali na jumbe za kutambiana walizokuwa wakizipost kwenye mtandao wa Snapchat.

Sasa Ayo Tv na millardayo.com imempata Irene ambaye amezungumza kwa upande wake kuhusu ishu hiyo. Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza akizungumza.

VIDEO: Nandy kazungumza “Siwezi kusema mimi ni namba moja nawaachia mashabiki”

Soma na hizi

Tupia Comments