Habari za Mastaa

Benson aliyeimba ‘HAUZIMI’ kutoka uhudumu wa Bar mpaka malengo haya

on

Benson ni muimbaji wa Bongofleva ambaye alianza safari yake ya muziki pale Escape One alipokuwa muhudumu na ndipo Nape Nnauye alimuona kipindi hicho na kuahidi kumsaidia sasa Benson anatamba na wimbo wake wa ‘Hauzimi’ wimbo uliofika chart kubwa za Top 20 hapa bongo.

Ayo Tv na millardayo.com imezungumza naye na hapa kafunguka mpaka malengo yake ya badae. PLAY KUMSKILIZA.

“Gigy Money is not my Type, siwezi kuwa na tatizo na mtu ambaye yupo chini yangu”

Nandy kazungumza “Siwezi kusema mimi ni namba moja nawaachia mashabiki”

Soma na hizi

Tupia Comments