AyoTV

Wanawake wajitosa Baharini, Kamanda asema wajue kujiokoa (+video)

on

Tunayo story kutokea kwa Kamanda wa Kikosi cha Polisi Wanamaji, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ASP), Evance Mwijage ambapo amezungumzia umuhimu wa wanawake kujifunza kujiokoa pindi wanapokuwa kwenye fukwe ili kujihakikishia usalama wao.

ASP Mwijage amesema kutokana na kutambua hilo wametoa mafunzo maalum kwa Polisi Wanamaji Tanzania Chuo cha Dar es Salaam, Bandari na Mama Lishe wanaofanya kazi kwenye fukwe kwa ajili ya kujihakikishia usalama wao.

“Kwa sababu wao ni wakina Mama na sisi Polisi tuna wakina Mama ambao ni wazamiaji, hivyo tukaona wafanye mazoezi ya pamoja ili kujihakikishia usalama wao na ndugu zao wakiwa katika fukwe,”amesema.

RC HAPI: ‘Tafiti zinasema hajawai tokea rais kama Magufuli, Mambo makubwa kipindi kifupi”

Soma na hizi

Tupia Comments