Top Stories

Dawa za kuongeza nguvu za kiume zaibua mjadala Bungeni, Mbunge azitaja zote

on

Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga leo Bungeni Dodoma amehoji kuhusu madhara yatokanayo na dawa za kuongeza nguvu za kiume ambazo zimezagaa Tanzani, Majibu ya Serikali yakatolewa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga taifa Dr. Hussein Mwinyi

Kuna supermoringe, mundende, super gafina, jasosi mix, amsha mzuka, sado power na hii Congo dust imeonyesha mafanikio makubwa, je Serikali imeshafanya utafiti nini kinasababisha Watu kutokua na nguvu za kiume kupelekea kutumia hizi dawa?

HASIRA ZA DR. KIJAJI BAADA YA ASKARI KUFANYA UVAMIZI “TUMEVUMILIA VYA KUTOSHA, ZITAWATOKEA PUANI”

Soma na hizi

Tupia Comments