Video Mpya

VideoMPYA: Kuna hii hapa kali ya kuitazama ni Nacha kwenye ‘Mnachanganya’

By

on

Kutana na mwimbaji kutokea kwenye industry ya Bongo Fleva Nacha akiwa na video ya ngoma mpya inaitwa ‘Mnachanganya’ ambapo ndani ya ngoma hiyo anakuuliza ukiwa na ndugu kwani lazima mfanane?, bonyeza PLAY hapa chini kutazama.

VIDEO: BINTI AMUUA MWANE NA KISHA KUJINYONGA ‘KILICHOFANYIKA NI KITENDO CHA KUTISHA’, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA 

Soma na hizi

Tupia Comments