Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam February 19, 2022,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
JEMEDARI SAID: ATOA TATHMINI YA KIWANGO CHA CHAMA, SIMBA WALIFANYA MAAMUZI SAHIHI