Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam January 11, 2022,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
KAULI YA NAPE BAADA YA KUAPISHWA KUWA WAZIRI “NAKWENDA KUTIMIZA MATARAJIO”