Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 29, 2022,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania,
AHMED ALLY ATOA MSIMAMO WA SIMBA ISHU YA DEJAN “AMEVUNJA MKATABA TUNAENDA KUTOA HUKUMU”