Mix

Habari 5 kubwa kwenye TV za Tanzania May 3 2016

on

Kama utakua ni mpenzi wa kutazama taarifa ya habari na hukupata time usijali millardayo.com imekurekodia habari 9 za May 3 2016 kupitia TV za Tanzania.

Habari kutoka ITV…Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari

Serikali yasema iko tayari kukaa na wadau wa sekta ya habari, Siku ya Uhuru wa vyombo vya habari dunia imekuja na kauli mbiu ambayo inasema ‘kupata habari ni haki yako idai‘.

20160503_200214

Habari kutoka ITV…Athari za Mafuriko Kilombero

Waathika waomba Serikali kujenga tuta la mto Rumemo ……>>>’Kifupi naomba Serikali itusaidie pale mto unapoziba kwasababu hapa kwenye haya mazingira yetu  tulishayazoea, kwahiyo Serikali wakituamisha kwenda sehemu nyingine tutakwazika‘ :-Mkazi20160503_201139

Habari kutoka  TBC1…Waadishi wa Habari Wakumbusha Ujenzi wa Kituo cha Polisi

>>>Kwabahati nzuri nataka niwaambie wanachi kuwa hiki kituo cha Polisi kiko njiani kujengwa yaani niwatoe wasiwasi kabisa kuhusiana na ujenzi wa kituo hiki maana tayari Polisi wameshapewa ramani ya jengo hili’:Mwakilishi wa Kampuni ya Dangote

20160503_200840

Habari kutoka Channel Ten…Kesi ya Kitlya na Wenzake

Hakimu Mchahuru anayesikiliza shauri hilo amesema amepokea taarifa kutoka kwa Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Kanda Ya Dar es salaam kuwa washtakiwa wanatakiwa kufika Mahakama Kuu, Hakimu  Mchahuru amesema washitakiwa na mawakili wao hawana budi kufika Mahamani hapo;-Mwandishi wa Habari20160503_190910

Habari kutoka Channel 10…Mgogoro Hospitali ya Amana

Tukio hilo limetokea Siku ya Ijumaa saa 4 usiku baada ya majambazi kumpiga risasi dereva wa bodaboda na kufanikiwa kumnyang’anya bodaboda yake…. ‘Wakati tunaingia hospitali ya Amana mwenzangu alienda kuchukua kadi baada ya mwenzangu kutoka nje ndio akaniambia kuwa amenyimwa kadi mpaka atoa fedha‘:-Shuhuda

20160503_191327

Habari kutoka Star TV...Mwekezaji Kunyang’anya Ardhi

Wakazi Eshkeshi Manyara wapinga, naye Mkuu wa Mkoa wa Manyara ameandaa timu itakayoenda katika Kijiji cha Eshkeshi ili kufuatilia tukio hilo…..>>> ‘Timu hii itaenda kule hata ikikaa siku mbili lakini lazima ijue ardhi hiyo imetolewa kwa halali‘ :- Joel Bendera Mkuu wa Mkoa wa Manyara20160503_201736

Habari kutoka Azam TWO…Kwanini nini Bajeti Ndogo Kilimo20160503_201854

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

ULIIKOSA HII YA DALADALA KUANZA KUPITISHA ABIRIA DARAJA LA KIGAMBONI? UNAWEZA KUBONYEZA PLAY HAPA CHINI…

Soma na hizi

Tupia Comments