Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: TFF imemfungia kocha wa Yanga Hans van Pluijm mechi 3 na kumpiga faini
Share
Notification Show More
Latest News
Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
January 27, 2023
Picha: Mwili wa Mtanzania aliefia kwenye vitani urusi, waagwa kwa picha nyumbani kwao
January 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > TFF imemfungia kocha wa Yanga Hans van Pluijm mechi 3 na kumpiga faini
Sports

TFF imemfungia kocha wa Yanga Hans van Pluijm mechi 3 na kumpiga faini

November 22, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

Shirikisho la soka Tanzania TFF leo November 22 2016 kupitia kwa kamati ya saa 72 imetangaza kumuadhibu kocha mkuu wa Yanga Hans van Pluijm kwa tuhuma za kuwatolea lugha chafu waamuzi wa mechi.

Kamati ya saa 72 imemfungia kocha Hans van Pluijm mechi tatu kukaa katika benchi na kumpiga faini ya Tsh 500,000 kwa kosa hilo, Hans anatajwa kuwatolewa lugha chafu waamuzi wakati wa mchezo na baada ya mchezo kuwafuata katika vyumba vya kubadilishia nguo.

Kama utakuwa unakumbuka vizuri Hans van Pluijm alioneshwa kadi nyekundu kwa mara ya kwanza katika maisha yake ya soka kama mchezaji na kama kocha November 10 2016 katika mchezo dhidi ya Ruvu Shooting kwa tuhuma za kupishana kauli na refa.

VIDEO: KAMA ULIKOSA HANS VAN PLUIJM ALIVYOIZUNGUMZI KADI NYEKUNDU ALIYOONESHWA

You Might Also Like

Imani Kajula CEO mpya Simba SC

Winga wa Kimataifa Trossard amejiunga Arsenal

Live: Ally Kamwe akabidhiwa simu ya gharama na Rais wa Yanga Eng.Hersi

Arsenal yamsajili Trossard

Usain Bolt atapeliwa Bilioni 29, fahamu mapya yaliyoibuka

TAGGED: Soka bongo
Rama Mwelondo TZA November 22, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Kanye West hatolipwa pesa baada ya kukatisha show, Itafidiwa kwa mashabiki
Next Article Neema Herbalist wasema dawa ya JIKO imethibitishwa na mkemia mkuu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
Top Stories January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
Top Stories January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
Entertainment January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
Entertainment January 27, 2023

You Might also Like

Entertainment

Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa

January 27, 2023
Entertainment

Warembo wanaounda kundi la Tango Supreme kutumbuiza Dar, 27th Jan Elements Masaki

January 27, 2023
Entertainment

Mabibi na Mabwana Nuh Mziwanda ametuletea hii single mpya ‘Nikizipata’

January 26, 2023
Entertainment

PROFILE: Mfahamu Vido Vidox, ripota wa Ayo TV kwa stori za mastaa!!

January 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?