Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipata huko.
#NIPASHE TFDA yakamata shehena ya dawa bandia za malaria, zinazozalishwa ktk viwanda viwili visivyosajiliwa vilivyoko Geita na Mara pic.twitter.com/XuzEd1eZjV
— millardayo (@millardayo) October 29, 2016
#NIPASHE Mwenyekiti NEC, Jaji Damian Lubuva ameshauri NEC kufumuliwa na kuwa na muundo mpya tofauti na ilivyo sasa pic.twitter.com/bfXHBKJaFB

#NIPASHE Msemaji wa CCM, Ole Sendeka ameitaka serikali ichunguze akaunti za wabunge waliokuwa wakiunda PAC kwenye bunge la 10 pic.twitter.com/JbMOBh8dVG
— millardayo (@millardayo) October 29, 2016
#NIPASHE Imebainika kasi ya watu kutangaza kupotelewa vyeti kunatokana na wengi kuwa na vyeti feki wakiwamo waliomaliza 2007 na kurudi nyuma pic.twitter.com/RJFWE3NuBl
— millardayo (@millardayo) October 29, 2016
#NIPASHE Kamati ya bunge yamtaka msajili wa hazina kuwasilisha mkataba wa uuzaji wa hisa za UDA kwa kampuni ya Simon Group pic.twitter.com/5Ol1B1bzJk
— millardayo (@millardayo) October 29, 2016
#NIPASHE Mahakama Kisutu, DSM itaanza kusikiliza kesi ya kupinga uchaguzi wa umeya wa manispaa ya K'ndoni December 16 mwaka huu pic.twitter.com/QoSEW6hFJB

#MWANANCHI Serikali yarejesha asilimia 52 ya hisa zake UDA, zilizonunuliwa kinyume na utaratibu na kampuni ya Simon Group Limited pic.twitter.com/J4jWvuayuV
— millardayo (@millardayo) October 29, 2016
#MWANANCHI Siku chache baada ya Lowassa kuchambua mwaka mmoja wa JPM, CCM imemjibu kuwa ni mpotoshaji na wala si tishio kwao pic.twitter.com/I3zuHUekVU

#JamboLEO Hatua ya Serikali kuhamisha akaunti zake kutoka benki za biashara kwenda BoT imetajwa kupunguza zaidi ya bil 673 kwenye benki hizo pic.twitter.com/TdMiDtsH0R
— millardayo (@millardayo) October 29, 2016
#HabariLEO CCM imetekeleza agizo la JPM la kuwalipa mishahara na haki zao nyingine zinazofikia mil 609 wafanyakazi wa Uhuru Publications pic.twitter.com/926zRPtqPj
— millardayo (@millardayo) October 29, 2016
#HabariLEO Wanahisa tisa wa kampuni ya Simon Group yenye hisa mil 3.6 kati ya mil 15 za UDA wametajwa mbele ya kamati akiwemo Prof. Kapuya pic.twitter.com/Kselb2fgvn
— millardayo (@millardayo) October 29, 2016
#HabariLEO Zaidi ya mil 83 zimeokolewa na NHIF Tanga baada ya ukaguzi ktk vituo 29 vya kutolea huduma kuonesha viashiria vya udanganyifu pic.twitter.com/afabWUIlkL
— millardayo (@millardayo) October 29, 2016
#UHURU Waziri wa mafuta Congo, Prof. Lusadiese amesema nchi yake imevutiwa kuwekeza kwenye mradi wa bomba la mafuta utakaotekelezwa Tanga pic.twitter.com/lSt6WWtKFd
— millardayo (@millardayo) October 29, 2016
#MWANASPOTI TRA wavamia ofisi za TFF kwa kusudio la kufunga ofisi hizo kutokana na madeni, ambapo TFF walijikwamua kwa kulipa sehemu ya deni pic.twitter.com/2MrpaFI7OU
— millardayo (@millardayo) October 29, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI HUU WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV, OCTOBER 29 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI