Video Mpya

VideoMPYA: Ed Sheeran awakutanisha 50 Cent & Eminem kwenye ‘Remember The Name’

By

on

Msanii maarufu kutokea Uingereza Ed Sheeran amekamilisha ndoto yake ya kuwakutanisha wakali wawili kwenye muziki wa Hip Hop Eminem pamoja na 50 Cent kwenye ‘Remember The Name’, Ed Sheeran aliwahi kutaja ujio wa ngoma yake pamoja na Eminem.

Leo July 12,2019 Ed Sheeran ameachia ngoma hiyo sambamba na Album yake ya sita ‘No.6 Collaborations Project’ inayotajwa kuwa na jumla ya ngoma 16 aliyowashirikisha wasanii kibao akiwemo Justin Bieber, Chance The Rapper na wengine kibao.

VIDEO: KIVUTIO CHA UTALII KINACHOONGOZA KUINGIZA PESA NYINGI MISRI

Soma na hizi

Tupia Comments