Video Mpya

VideoMPYA: Leo Aslay ameidondosha ‘Nichombeze’, karibu kuitazama

By

on

Kutokea kwa Aslay leo ameidondosha nyingine ya kuitazama akiwa amesimama mwenyewe kwenye mdundo mpya akikwambia ‘Nichombeze’, fanya kubonyeza PLAY hapa chini ili kutazama pamoja na kuburudika na ngoma hiyo.

VIDEO: UMEPITWA NA HII YA WAKAZI?  ‘SILAZIMISHI / SI-FORCE, ACHA MUZIKI UONGEE’, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA 

Soma na hizi

Tupia Comments