Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

MAPOKEZI AIRPORT: Davido kuhusu Alikiba, ku-perform Arena Nextdoor DSM

on

Mwimbaji staa wa kutokea nchini Nigeria, Davido tayari amewasili DSM kwaajili ya ku-perform leo June 16, 2016 kwenye ukumbi mpya wa kisasa  NEXT DOOR ARENA.

Staa huyo kupitia Ayo TV pia  aliweza kujibu swali kuhusu collabo yake na Alikiba aliyowahi kuitangaza June 18, 2015  kwenye redcarpet ya utoaji wa tuzo za MAMA zilizofanyika Durban South Africa.

ULIIMISS HII YA DAVIDO KUHUSU KUTAKA KOLABO NA STAA ALIKIBA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments