Top Stories

Haji Manara ahamia Yanga na Familia yake “Yanga ina Viongozi…….”

on

Aliyekua Msemaji wa Simba SC Haji Manara ametangaza rasmi kujiunga na Yanga jioni hii Jijini Dar es salaam, ametangaza kuhamia na Familia yake nzima.

Nakwenda Yanga kwa sababu ina viongozi watakaonipa nafasi ya kuwasaidia, nilibanwa mno, nilidhihakiwa mno, sijawahi kuwa na matatizo na Simba” — Manara.

TAZAMA LIVE HAJI MANARA AKIONGEA LIVE

Soma na hizi

Tupia Comments