Michezo

Haji Manara amuomba radhi Morrison ‘Samahani tulipokukosea’

on

Kama utakuwa unakumbuka hapo awali kulikuwa na sintofahamu kati ya Msemaji wa Yanga, Haji Manara kurushiana vijembe na Mchezaji wa Simba Bernard Morrison mitandaoni.

Sasa Manara safari hii ameibuka na kumtaka radhi mchezaji huyo juu ya kutoelewana baina ya wawili hao.

 

Soma na hizi

Tupia Comments