Michezo

Haji Manara kafunguka baada ya Chama kuondoka Simba SC

on

Baada ya aliekuwa Staa wa Simba SC raia wa Zambia, Cloutous Chama kujiunga na Club ya RS Berkane ya nchini Morocco.

Sasa aliekuwa Msemaji wa Simba SC, Haji Manara ameyaandika haya

Niliona miguu yako siku ya kwanza nikapagawa na ufundi wako..Nakumbuka tukiwa Kitwe Zambia,Picha hiyo ya mbele ikatawala Katika mitandao na Magazeti ya kwenu”- Haji Manara

Unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi alichokiandika Haji Manara baada ya Chama kuondoka Simba SC

 

MESSI AANZA MAZOEZI, USO KWA USO NA MBAPPE, NEYMAR NA RAMOS

Tupia Comments