Michezo

Haji Manara kafunguka baada ya Yanga SC “Kufungwa sio ajabu”

on

Ni Haji Manara ambae leo Agosti 30, 2021 kafunguka baada ya Yanga SC kufungwa jana katika mchezo wa kirafiki na Zanaco FC ambapo mchezo ulimalizika Yanga SC 1-2 Zanaco FC.

Sasa Haji Manara kupitia ukurasa wake wa instagram ameyaandika ya moyoni na kusema”Unaposema hakuna jipya hilo la zamani alifanya nani ? au Mwamedi wenu? Mimi ndio nilifanya na hakuna wa kufanya nifanyayo mm huko Makolokono’-Manara

“Kufungwa katika matamasha haya huwa sio ajabu coz ni mechi za Mwanzo wa Msimu,,,hata Makolo miaka michache nyuma mlikula Tatu mtungi na Zesco toka huko huko Zambia”- Manara

“Kubwa Tamasha letu halijawahi kutokea kwa jinsi lilivyokuwa bora na Alhamdulillah utambulisho wa jana umebaki kielelezo cha ubora wa club ktk utekelezaji wa mambo makubwa, naitwa Haji Bugati ,,,only one 💪🏾”– Manara

 

LAMBORGHINI YA BILIONEA MOSHA ILIVYOKUWA KIVUTIO KWA MKAPA

Soma na hizi

Tupia Comments