AyoTV

“Hakuna kokote nilipombeza Manji……”>>>Haji Manara

on

Moja kati ya post katika mtandao wa kijamii zilizotrend leo September 13 2017 ni post ya mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa club ya Simba Haji Manara, wote tunafahamu kuwa Simba na Yanga ni watani wa jadi hivyo huwa ni kawaida sana kwa Haji Manara kukutana anawatania Yanga katika social network.

Video ya dakika 3 ya magoli ya Taifa Stars vs Botswana September 1 2017, Full Time 2-0

Soma na hizi

Tupia Comments