Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipata huko.
#NIPASHE CAG kuchunguza bil 440 zilizowekwa na TPA ktk benki mbalimbali kwenye akaunti maalum kutokana na kiasi kidogo cha riba kilicholipwa pic.twitter.com/pj9kf5YjQ1
— millardayo (@millardayo) October 26, 2016
#NIPASHE Ripoti ya utafiti wa hivi karibuni inaonyesha kuwa watoto 130 hufariki dunia nchini kila siku kutokana na lishe duni na utapiamlo pic.twitter.com/GsLvDf9AvO
— millardayo (@millardayo) October 26, 2016
#NIPASHE Viongozi kadhaa wakiwamo waziri Simbachawene, AG wameitwa na kamati ya bunge kujibu maswali juu ya sakata la uuzwaji wa hisa za UDA pic.twitter.com/O9mVyfrIMB
— millardayo (@millardayo) October 26, 2016
#MTANZANIA Imeelezwa kuwa hatua ya wafadhili wa miradi ya afya nchini kufunga miradi yao kuna hatari ya kuadimika kwa kondomu na ARV's pic.twitter.com/iXyfVCkAsi
— millardayo (@millardayo) October 26, 2016
#MTANZANIA Baba amemuua mtoto wake Arumeru, Arusha kwa kumchoma kisu tumboni ni baada ya mabishano ya kugombea kupunguza sauti ya redio pic.twitter.com/bEkgbCDAcB
— millardayo (@millardayo) October 26, 2016
#MTANZANIA Watu 6,800 DSM wameathirika kwa magonjwa ya matende na mabusha pic.twitter.com/4aQZw8dn5E
— millardayo (@millardayo) October 26, 2016
#MTANZANIA Waliokuwa wagombea wa nafasi ya meya na naibu wake ktk manispaa ya K'ndoni kupitia CHADEMA wamefungua kesi kupinga uchaguzi huo pic.twitter.com/Dm9V1CasR3

#MWANANCHI Muungano wa Tanganyika na Z'bar umeingia kwenye jaribio jingine, baada ya Wazanzibari 40,000 kufungua kesi kupinga uhalali wake pic.twitter.com/JUex7Wufg7
— millardayo (@millardayo) October 26, 2016
#MWANANCHI Waziri Mkuu, Majaliwa amesema hadi kufikia kesho, asilimia 90 ya wanufaika mikopo vyuoni watakuwa wameshapata fedha zao pic.twitter.com/FTth0NprrA
— millardayo (@millardayo) October 26, 2016
#MWANANCHI Wanafunzi wa kiume 11 wa shule ya msingi Sombetini Arusha wawekwa chini ya uangalizi wa polisi wakidaiwa kufanya ngono na mbwa pic.twitter.com/VNU3zMEf0j
— millardayo (@millardayo) October 26, 2016
#MWANANCHI Kuanzia mwakani watakaobainika na VVU wataanza kutumia dawa za kufubaza makali 'ARV' bila kujali kiwango cha kinga ya mwili 'CD4' pic.twitter.com/3hlNIVFgzi
— millardayo (@millardayo) October 26, 2016
#NIPASHE Waziri Mwijage amesema viwanda 3,800 vimejengwa ktk kipindi cha serikali ya awamu ya tano kati ya viwanda 52,000 vilivyopo nchini pic.twitter.com/5ZyatRn2la
— millardayo (@millardayo) October 26, 2016
#NIPASHE Shahidi adai mke wa mfanyabiashara Kagomba aliyeuawa na mumewe baada ya kugoma kufanya tendo la ndoa nje ya ratiba alikuwa mjamzito pic.twitter.com/rGHe4Er8bG
— millardayo (@millardayo) October 26, 2016
#NIPASHE UDSM yakabiliwa na uhaba wa wanataaluma 400 wa kada na fani mbalimbali wakiwamo wahadhiri waandamizi pic.twitter.com/8wTPxVwYhR
— millardayo (@millardayo) October 26, 2016
#MAJIRA Lowassa asema October 25 2015 ni siku muhimu ktk maisha yake na vyama vya upinzani kwa kuleta msisimko mpya ktk siasa ya Tanzania pic.twitter.com/GDNe5fa32j
— millardayo (@millardayo) October 26, 2016
#MAJIRA TRA K'njaro yakamata lita 20,765 za mafuta ya taa yaliyokuwa yakisafirishwa kwa njia za panya kutoka Kenya kinyume cha utaratibu pic.twitter.com/FtzKLZb4fO
— millardayo (@millardayo) October 26, 2016
#MAJIRA Watafiti Thailand wadai kuwa watu wanaopenda sana kujipiga picha za selfie wana matatizo ya kiafya au matatizo kwenye mahusiano yao pic.twitter.com/HzhZm7ncmu
— millardayo (@millardayo) October 26, 2016
#MAJIRA Aliyekuwa msimamizi uchaguzi Bunda mjini awasilisha kiapo kesi ya Bulaya, chaibua mjadala baada ya kuwepo kiambatanisho chenye utata pic.twitter.com/pBIfsr2F4X
— millardayo (@millardayo) October 26, 2016
#DIMBA Saa chache baada ya aliyekuwa kocha wa Yanga, Pluijm kujiuzulu imedaiwa Azam FC inafanya naye mazungumzo ya siri ili ajiunge nayo pic.twitter.com/xRZAuuShFk
— millardayo (@millardayo) October 26, 2016
#CHAMPIONI Baada ya kocha wa Zesco ya Zambia, Lwandamina kufanya mazungumzo na Yanga, aacha hofu juu ya kikosi cha Zesco kutetea ubingwa pic.twitter.com/4rX5LKMzNp
— millardayo (@millardayo) October 26, 2016
#CHAMPIONI Mrisho Ngassa aifungia bao timu yake mpya ya Fanja ya Oman ktk mechi iliyochezwa mwishoni mwa wiki iliyopita pic.twitter.com/EBNSMR9BGK
— millardayo (@millardayo) October 26, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV OCTOBER 26 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI