Top Stories

“Hakuna kusafiri bila kibali cha Rais, Makamu au Waziri Mkuu”- Ummy Mwalimu (video+)

on

Waziri wa Nchi-Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Ummy Mwalimu Octoba 12, 2021  Dodoma ametoa ufafanuzi wa jinsi Wizara hiyo itakavyozitumia Tsh. Bilioni 535.6 ilizopewa kutoka kwenye fungu la fedha za mapambano dhidi ya Covid 19 Tsh. Trilioni 1.3 kutoka IMF, ambapo kwa kuanza amewaagiza Viongozi wote wa Serikali ndani ya TAMISEMI ngazi ya Mikoa, Wilaya na Halmashauri kutokutoka nje ya Mikoa (kwa safari zisizo za lazima) bila kibali cha Viongozi Wakuu wa Nchi ili wabaki kwenye mikoa yao na kuzisimamia fedha hizo.

CCM YAIPONGEZA ACT KWA KUSHINDA UCHAGUZI KONDE, SHAKA ASEMA RAIS KAVUNJA REKODI IMF

Soma na hizi

Tupia Comments