Michezo

Hakuna namna ambayo EPL inaweza kurejea na mashabiki

on

Mwenyekiti wa chama cha soka England FA Greg Clarke amesema hatarajii kuona mashabiki wakipata nafasi ya kuangalia mechi uwanjani kwa siku za karibuni nchini England mara baada ya EPL kurejea sababu ya corona.

Kama mechi zitarudi na kuruhusiwa kucheza tena kwa upande wa game za EPL na EFL basi zitalazimika kuchezwa bila uwepo wa mashabiki uwanjani.

Soma na hizi

Tupia Comments