Club ya Liverpool ya England inaonekana kuzidi kuonesha nia ya kumalizika ukame wa taji la EPL katika uwanja wao wa Anfield, Liverpool ambao wanaonekana kujipanga na kuiacha Man City kwa mbali na kutotaka kufanya makosa kama msimu uliopita, wengi walitarajia kuwa Liverpool wanaweza kukutana na mtihani mgumu leo ugenini dhidi ya Tottenham.
Kuhakikisha kuwa biashara asubuhi pamoja na kocha wa Tottenham Jose Mourinho kuwa ni master wa kujilinda lakini imeonaka kama Jurgen Klopp alipanga kumaliza biashara mapema dhidi ya Spurs kwa goli pekee la ushindi lililofungwa na Robert Firmino na kuufanya mchezo huo kuisha kwa Liverpool kuvuna point tatu 1-0.
Hadi kufikia sasa wengi wanaamini kuwa Liverpool atakuwa bIngwa msimu huu kutokana na kuwa point 61 na kuicha Man City kwa tofauti ya point 16 Man City wakiwa nafasi ya pili, ili waifikie Liverpool maombi yao watabidi waombe Liverpool ifanye vibaya katika michezi 6 huku wao wakishinda kila mchezo wataocheza ndio Man City wataweza kutetea Ubingwa wao.
VIDEO: TATHMINI YA ALLY MAYAY KUHUSU FAINALI MAPINDUZI CUP, KAULI YA NUGAZ ILIYOMFANYA AOMBE RADHI JE?