Ikiwa ni siku kadhaa tangu Wanajeshi wa Guinea wamejitokeza katika runinga ya taifa wakithibitisha kwamba Rais Alpha Conde ameondolewa madarakani, katika hotuba iliyooneshwa kwenye televisheni, Wanaume waliovaa sare za kijeshi, bendera ya Guinea ikiwa nyuma yao wamelihutubia taifa wakijiita Kamati ya Kitaifa ya upatanisho na maendeleo.
Hapa nimekusogezea video hii ushuhudie kile kinachojiri nchini humo ikiwemo Ulinzi umeimarishwa.
KAMANDA ALIEMPINDUA RAIS WA GUINEA MADARAKANI ALIWAHI KUWA MSAIDIZI WAKE