Ad

Top Stories

Picha 5 za nje ya Mahakama kuu sasa hivi kwenye kesi ya Zitto na Chadema

on

DSC_0583Kesi inayomhusu Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe na Chadema leo inatarajiwa kuendelea baada ya kuahirishwa Ijumaa iliyopita ambapo ilitangazwa kuendelea leo saa nne lakini mpaka sasa saa tano bado haijaanza.

Hizi ni baadhi ya picha za hali ilivyo nje ya Mahakama kuu kanda ya Dar es salaam kuanzia kwenye ulinzi mpaka kwa wafuasi ambapo hata hivyo taarifa zilizotoka sasa hivi zinasema kesi hii imeahirishwa mpaka kesho Jan 7 2014 saa nane mchana.

DSC_0563

DSC_0549DSC_0564 DSC_0575

Tupia Comments