Tayari Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimefanya malipo kwa ajili ya kuwalipia wabunge wake watatu ambao ni Esther Matiko, Halima Mdee na Ester Bulaya waliokuwa wamehukumiwa jana na Hakimu wa Mahakama ya Kisutu kwenda jela au kulipa faini.