Top Stories

Halima Mdee, Peter Msigwa walivyosimama Bungeni leo (+video)

on

Mbunge wa Kawe Halima Mdee amependekeza wabunge wote wapimwe Corona Virus ili wale watakaobainika kuwa na maambukizi ya Corona wakawekwe karantini, na wale ambao hawana maambukii waendelee kufanya kazi bungeni.

Kule uswazi “social distance” haipo kuanzia kwenye daladala, mwendokasi , nadhani ili suala tulijadili kwa kina ili tuangalie Serikali ina mpango gani wa dharura wa kibajeti’-Mbunge Halima Mdee

BREAKING: MTANZANIA AFARIKI KWA CORONA “AMEFIA MLONGANZILA”

Soma na hizi

Tupia Comments