AyoTV

Uhamiaji wanaendelea kukamata, safari hii wametoa onyo mpaka kwa club za soka TZ…(+Video)

on

Idara ya uhamiaji Dar imeendelea na Oparesheni ya kuwasaka na kuwakamata wale wote wanaoishi nchini bila kuwa na vibali maalum, hadi sasa tayari kuna ripoti ya watu waliopatikana na hatia hii, lakini kubwa zaidi pia kuna hili huwenda ikawa haijakufikia ya biashara haramu inayoendelea ya watu kuuzwa Uarabuni..?

Full stori nimekusogezea kwenye hii video hapa chini..

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE

 

Soma na hizi

Tupia Comments