Top Stories

Hamis amezaliwa bila mikono, anakula kwa miguu, “walitaka kunitoboa, Mama alikula hela” (+video)

on

Hamis Lugonda (40) yeye alizaliwa na ulemavu akiwa hana mikono yote miwili na video clip zake zilikuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii akionesha uwezo wa kulima bila mikono, kula chakula kwa kutumia miguu kwa ufundi na kipaji cha kipekee

Amezungumza na AyoTV na millardayo.com kutoka Kijiji cha Kadata Wilaya ya Nzega Tabora na kutusimulia mapito ya maisha tangu kuzaliwa mpaka leo anafikisha miaka 40.

WAZIRI UMMY “WENGI HAWAUMWI CORONA”

Soma na hizi

Tupia Comments