Habari za Mastaa

Hamisa aweka ukweli wote uhusiano wake na Rick Ross, kahojiwa nchini Kenya (Video+)

on

Ni Mrembo Hamisa Mobetto ambae akiwa nchini Kenya amefanya mahojiano na kituo cha TV maarufu kama NTV.

Katika mahojiano hayo mrembo huyo ameulizwa ukaribu wake na Rick Ross kisha kuweza wazi kwamba si wapenzi vile watu wanavyofikiria.

“Sisi ni kama familia kubwa na tumefanya vitu pamoja ambavyo muda wowote tutaviweka wazi” – amesikika Hamisa Mobetto

Unaweza ukabonyeza play kusikiliza kile alichozungumza Hamisa Mobetto 

Tupia Comments