Habari za Mastaa

Hamisa Mobetto amjibu Kajala “Unaongea uongo bila uwoga”

on

Msanii Hamisa Mobetto hajataka kukaa kimya kuhusu kile kinachoendelea mtandaoni juu ya mtoto wa Kajala kuonekana kwenye video akiwa na msanii Rayvanny ambapo Kajala akadai Hamisa anahusika, sasa Hamisa amekuja na kusema ni uongo.

Bonyeza PLAY hapa kupata taarifa kamili.

KAJALA AMLAUMU HAMISA MOBETTO KUHUSIKA KWENYE SAKATA LA VIDEO ZA MTOTO WAKE

Soma na hizi

Tupia Comments