AyoTV

‘Sasa hivi tunaelekea ujenzi wa hospitali 67 za wilaya 2019’- Waziri Jafo

on

Tukiwa kwenye headlines za kumaliza mwaka 2018 mengi tumeyaona kwenye utendaji kazi wa serikali ya awamu ya tano leo Dec 24, 2018 Waziri wa nchi na ofisi ya Rais TAMISEM Selemani Jafo amezungumza yale yaliyofanywa kwenye sekta mbalimbali pia kaeleza ujenzi wa hospital 67 za wilaya 2019.

ULIIKOSSA HII YA WAZIRI JAFO NA DC JOKTE KUKABIDHI COMPUTER 25 KISARAWE BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

 

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments