Top Stories

“Niliponea kufa baada ya kumuibia Mwanajeshi” -MKALIWENU

on

Miongoni mwa matukio ambayo huwenda hukuwahi kuyafahamu ni pamoja na hii kutoka kwa staa wa uchekeshaji na Bongo fleva Jackson Supakila Maarufu kama Mkali Wenu ambaye amefunguka mbele ya camera ya Ayo TV kuhusu baadhi ya matukio aliyowahi kuyapitia kabla ya kuwa maarufu ikiwemo tukio la kuponea kifo baada ya kumuibia mwanajeshi.

Sitasahau siku nimeiba mkoba wa mwanajeshi, ilikuwa kwenye gari sina nauli na njaa inaniuma niona pochi ya dada akimnyonyesha mtoto nikaichukua kwa miguu nikaanza kukimbia”-MKALIWENU

“Hatumchekei mtu katika hii kitu, hatuwatishi tutawashugulikia” –Barnaba Boy

Soma na hizi

Tupia Comments